TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 23, 2014

WATAALAMU WA AFYA MERU WASHAURIWA KUTOA ELIMU ZAIDI KWA JAMII JUU YA MAGONJWA NYEMELEZI

images  Na Gladness Mushi, MERU

Wataalamu wa afya nhini wametakiwa  pamoja na Athari zake huasani kwa watu ambao tayari wameshaathirika na virusi vy UKIMWI ili kupunguza wimbi la katisha dozi ya ARV’s kwa wanaotumia.
Wito huo umetolewa leo mkoani hapa na kaimu mganga mkuu wa halmasauri ya wilya ya Arumeru Dkt.Aziz Msuya wakati akiongelea ugonjwa wa ukimwi katika wilaya hiyo ya Meru
Alisema hivi sasa jamii kwa ujumla hasa watu ambao wanaishi na virusi vya UKIMWI bado hawajapewa ya kutosha juu ya matumizi ya Daawa hizo za kuerefusha maisha ARV’s pamoja na tiba ya magonjwa nyemelezi endapo atakuwa ajapata tiba juu ya magonjwa hayo lazima dawa hizo zitaleta madhara katika mwili wa binadamu.
Dkt.Msuya pia ameiomba serikali iendelee kuwahamasisha zaidi juu ya ina za magonjwa nyemelezi hayo hasa kwa watut ambao wmeshaathirika na virusi vya UKIMWI yanayoleta madhra katika mwili wa binadamu ambpo alitaja magonjwa hayo kuwa ni kifua kikuu,Fangazi za mwilini ndani ya utumbo na katika mapafu na mkanda wa jeshi.
Aidha alisema endapo jamii itazingatia Tiba za haraka pindi wanapogundua kuwa wameshapatwa na magonjwa hayo nyemelezi basi hakutakuwa na wimbi la madhra yatokanayo na dawa hizo za kurefusha maisha kwa wanaozitumia ARV’s.
Pia ametoa wito kwa wale wote wanaoishi na virusi vya UKIMWI kutumia dawa zinaoendana kinga ymiili yaona kwa kuzingatia ushauri wa Daktari amabpo kutawasaidia kuepukana na madhara yanayojitokeza mara kwa mara endapo mtumiaji atakuwa hatumii kama alivyoshauriwa.

No comments:

Post a Comment