Katibu wa Bodi ya Filamu
Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano
na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika
hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil
Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu
maandalizi ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu
hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa
Utawala wa Kampuni ya Bao Limited Bw. Joseph Noel na Mjumbe wa Kamati ya
maandali ya tuzo hizo Bi. Lucia Joseph
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Tabasamu Film Production Bw. Hamza Shaban akifafanu
jambo akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu maandalizi ya uandaaji wa
tuzo za Nyumbani Kiswahili Film baina ya Bodi ya Filamu na Kamati ya
Maandalizi ya tuzo hizo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es
Salaam.
Picha na Frank Shija
No comments:
Post a Comment