Mtoto
wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi
Cheti, Mwenyekiti wa UWT ambaye pia ni Kaimu Katibu wa CCM wa Tabata
Relini, Shahani Mtwawa, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili
ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa
Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya
Tabata, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake mgeni rasmi huyo,
aliahidi kuiboresha Ofisi hiyo ya Serikali ya Mtaa wa Tabata kwa kununua
Fenicha za ofisi zisizopungua gharama ya Sh. M 1.5. Mtoto
wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi
Vifaa vya michezo (Jezi na Mpira) Katibu Mwenezi wa Kata ya Tabata
Relini, Ramadhan Mazongera, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa
ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa
Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya
Tabata, jijini Dar es Salaam.
Mtoto
wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi
Vifaa vya Michezo (Jezi na Mpira) Mwakilishi wa Tawi la CCM la Mti
Mgandisho Tabata, Bakari Mpakala, wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa
kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa
kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya
Tabata, jijini Dar es Salaam.
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin,
akikabidhi Meza na Viti, kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata,
Elisante Msangi (kulia) wakati wa Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa
ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa
Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata ya Tabata. Sherehe hiyo
ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za Serikali ya Mtaa Kata ya
Tabata, jijini Dar es Salaam. Mtoto
wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimtunza
mwimbaji wa kundi la Segere lililokuwa likitoa burudani, wakati wa
Sherehe maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa
CCM, waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa
Kata ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi
za Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Wasanii
wa kundi la Segere wakiimba wakati wakitoa burudani katika Sherehe
maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM,
waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata
ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za
Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Mtoto
wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akimkabidhi
Cheti, Katibu CCM Tawi la Tabata, Siza Mazongela, wakati wa Sherehe
maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru Wapiga Kura wa CCM,
waliofanikisha kuchaguliwa kwa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Kata
ya Tabata. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za
Serikali ya Mtaa Kata ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Mtoto
wa Rais Mstaafu wa awamu ya tano Zanzibar, Amin Salmin, akisaini katika
kitabu cha wageni, mara tu baada ya kuwasili kwenye ofisi hizo. Sehemu ya Kinamama waliojitokeza kwenye sherehe hiyo.
No comments:
Post a Comment