KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO
Maafisa wa Jeshi la Magereza wenye vyeo mbalimbali ambao ni Wanachama
wa TPS SACCOS Ltd kutoka Mikoa yote Tanzania Bara wakisikiliza hotuba ya
Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd
leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema
Mkoani Morogoro.
Meza
Kuu wakiwa wameketi wakifuatilia zoezi la Utambulisho wa Wajumbe wa
Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika
kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro(katikati) ni
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil(wa tatu
kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akifanya mahojiano
maalum na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari
walioshiriki kikamilifu katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS
SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli
ya Edema Mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil(katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS
SACCOS Ltd leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika
Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(wa tatu kulia) ni Kamishna wa
Huduma za Urekebishaji wa Magereza, Deonice Chamulesile(wa pili kushoto)
ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa
pili kulia) ni Mwenyekiti TPS SACCOS Ltd, Kamishna Msaidizi wa Magereza,
Joel Bukuku(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment