Jaji
Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa
Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali
zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu
Divisheni ya Kazi nchini.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza jambo na Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila kabla ya kuanza kwa mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) wakifuatilia masuala mbalimbali leo jijini Dar es salaam.

No comments:
Post a Comment