Tigo Yatoa Udhamini Kwa Washindi wa Tigo Ngorongoro Run Kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mwanariadha
Alphonce Felix akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati
kampuni ya Tigo ilipotangaza udhamini kwa wanariadha ambao walishinda
mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio
za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon. Pembeni kulia ni .Mkurugenzi
Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles na Meneja wa Mawasiliano
wa Tigo John Wanyancha.
Mwanariadha Mary Naali akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)
wakati kampuni ya Tigo ilipotangaza udhamini kwa wanariadha ambao
walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki
kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon. Pembeni kulia ni
.Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles na Meneja wa
Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na kushoto ni Meta Petro Mjumbe toka
riadha Tanzania pia ni kocha wa wanariadha hao.
Mkurugenzi
Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akipeana mkono na
Alphonce Felix mara baada kutangaza udhamini wa Kampuni ya Tigo kwa
wanariadha walioshinda mbio za Tigo Ngorongoro Run Marathon mwaka jana
waweze kushiriki mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon
zitakazofanyika tarehe 1 machi Moshi Mkoani Kilimanjaro. Pembeni
anayeshuhudia ni Mwanariadha Mary Naali.
No comments:
Post a Comment