Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akisalimiana
na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza mara tu baada ya kumpokea
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil(suti nyeusi)
ambaye amefungua Mkutano Mkuu wa TPS SACCOS Ltd unaofanyika kwa siku
mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro kuanzia leo februari 24,
2015.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil akisoma
Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo
februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema
Mkoani Morogoro.
Maafisa wa Jeshi la Magereza wenye vyeo mbalimbali ambao ni Wanachama
wa TPS SACCOS Ltd kutoka Mikoa yote Tanzania Bara wakisikiliza hotuba ya
Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd
leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema
Mkoani Morogoro. Meza
Kuu wakiwa wameketi wakifuatilia zoezi la Utambulisho wa Wajumbe wa
Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika
kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro(katikati) ni
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil(wa tatu
kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akifanya mahojiano
maalum na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari
walioshiriki kikamilifu katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS
SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli
ya Edema Mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil(katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS
SACCOS Ltd leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika
Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(wa tatu kulia) ni Kamishna wa
Huduma za Urekebishaji wa Magereza, Deonice Chamulesile(wa pili kushoto)
ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa
pili kulia) ni Mwenyekiti TPS SACCOS Ltd, Kamishna Msaidizi wa Magereza,
Joel Bukuku(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment