Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi
tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume
Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa
habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu,
Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA
Bw. Juma Pinto.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akisoma
hotuba yake mara baada ya kukabidhi tuzo hiyo kwa Mama Fatma Karume
Mjane wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee Usiku huu.
Mama
Fatma Karume Mjane wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume akitoa nasaha
zake kwa wanamichezo usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kutoka
kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA
Bw. Juma Pinto na Maulid Kitenge Mtangazaji wa Redio ya EFM ambaye
alikuwa MC wa hafla hiyo.
Waziri
wa Habari , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akikabidhi tuzo
ya mwanamichezo bora wa mwaka katika mchezo wa wa kulipwa katika mchezo
wa gofu Hassan Kadilo.
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Bw. Jamal Malinzi
akikabidhi tuzo ya mwanamichezo bora chipukizi wa mwaka katika mchezo wa
gofu Nuru Molel
Waziri wa Habari , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akimkaribisha Rais Dr. Shein ili aongee na wanamichezo.
Mkurugenzi wa TV 51 na The Fadhaget Sanitarium Clinic Dr. Fadhili Emily chini ya Fadhaget Media Limited akiwa katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment