Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na
Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na
Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es
Salaam leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest
Mangu. Watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Zanzibar, Joseph
Meza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri, akimfafanulia jambo Waziri Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) pamoja na Watendaji
Wakuu wa wizara hizo mbili wakati wa mkutano wao wa ushirikiano
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.

No comments:
Post a Comment