Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa
cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa
maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati wanajeshi kutoka Chuo cha
Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Wanajeshi wakioneshwa shayiri inayotumika kutengenezea bia
Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa
cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa
maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta
wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda
hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ).
Askari hao wakitembelea maabara ya kiwanda hicho
Wakiwa katika moja ya mitambo ya kutengenezea bia
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakitembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam jana, wakiambatana na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). |
Nkya akijibu maswali ya askari hao
Oriyo akielezea mafanikio ya TBL na jinsi kampuni hiyo inavyoongoza katika pato la Taifa |
Kanali Jimmy Mutai kutoka Chuo cha Jeshi Kenya akitoa shukurani kwa TBL BAADA UJUMBE WAO KUTEMBELEA KIWANDA
Kanali Mutai akikabidhi zawadi kwa Meneja wa Kiwanda hicho, Carvin Martine
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi Ofisa wa Jeshi la JWTZ, aliyeongoza ujumbe huo, Brigedia Jenerali Dominic Mrope |
Martine akimkabidhi zawadi Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Mipango na Ugatuzi, Purity Masikombe |
Meneja wa Mawasiliano-Mambo ya Nje
wa Kampuni ya Bia Tanzania, Emma Oriyo (kulia), akiagana na baadhi ya
wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya baada ya kutembelea kiwanda cha
TBL Dar es Salaam jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi
Tanzania (JWTZ).
Ujumbe huo ukitembelea idara ya ujazaji bia kwenye chupa na makopo |
Viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi hao
No comments:
Post a Comment