Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso
Rodrudges(kushoto) akifuatilia majadiliano kabla ya makabidhiano rasmi
ya Mkataba wa Makubaliano ya mradi wa ubia wa uchimbaji madini ya
chokaa.Shirika la Magereza limeingia ubia katika mradi huo na Kampuni ya
Twiga Cement katika eneo la Jeshi la Magereza, Wazo Hill lililopo
jijini Dar es Salaam(kulia) ni Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Twiga
Cement.
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza waliohuhuria hafla hiyo ya makabidhiano
rasmi ya Mkataba wa Makubaliano ya mradi wa ubia wa uchimbaji madini ya
chokaa(wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza,
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, John Masunga(wa kwanza
kushoto) ni Afisa Ugavi Mkuu wa Shirika la Magereza, Mrakibu wa
Magereza, George Wambura(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
No comments:
Post a Comment