Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa
SADC,Gilberto Caldeira Correia (wapili kulia) na Mkurugenzi wa Chama
hicho, Emilia Siwingwa (kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Desemba 12, 2014. Kushoto ni Kushoto ni Officer Mtendaji Mkuu wa Chama
cha Wanasheria wa Tanzania (Tanganyika Law Society, Kaleb Gamaya na
wapili kushoto ni Rais wa Tanganyika Law Society, Charles
Rwechungula.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa
SADC,Gilberto Caldeira Correia (wapili kushoto) na Mkurugenzi wa Chama
hicho, Emilia Siwingwa (watatu kushoto) Ofisini kwake jijini Dar es
salaam Desemba 12, 2014. Kulia ni Kushoto ni Officer Mtendaji Mkuu wa
Chama cha Wanasheria wa Tanzania (Tanganyika Law Society, Kaleb Gamaya
na wapili kulia ni Rais wa Tanganyika Law Society, Charles
Rwechungula.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa
SADC,Gilberto Caldeira Correia (wapili kulia) na Mkurugenzi wa Chama
hicho, Emilia Siwingwa (kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Desemba 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment