Tigo yadhamini shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana jijini Dar es Salaam
Meneja
wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa
shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani),
wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia
mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
Wanafunzi
wasichana wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam wakiwa
kwenye shindano la ubunifu la tovuti lililoandaliwa kupitia mradi wa
‘Apps & Girl’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
No comments:
Post a Comment