Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na washiriki wa
maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake wa viongozi ( New
Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na
burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini
Dar es salaam, Desemba 12, 2014. Chakula hicho kiliandaliwa ili
kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto
yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri

yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi
ya washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na Umoja wa wake
wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni
kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal
Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2014
wakijitambulisha baada ya onyesho hilo. Chakula hicho kiliandaliwa ili
kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto
yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na na nalozi wa Sweden nchini,
Bw.Lennarth Hjelmaker, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 13,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment