TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, December 8, 2014

DK.Shein Aapisha Kaimu Jaji Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Afya.

IMG_7729Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama  Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]IMG_7748Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima Maulid Salum kuwa Naibu Katibu  Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]IMG_7693Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Issack Sepetu  na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum wakiwa tayari kula kiapo cha Utii kwa Serikali ya Mapinduzi pamoja na Utekelezaji wa kazi zao Mpya watakazo pangiwa baada ya kuapishwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] IMG_7694Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis (katkati) na Mshauri wa Rais Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Mzee Abrahman Mwinyi Jumbe wakiwa katika hafla ya kuapishwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Issack Sepetu  na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] IMG_7723 Baadhi ya Viongozi waliohudhurika katika hafla ya kupishwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Issack Sepetu  na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum wakifuatilia kwa makini wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowaapisha leo Ikulu Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment