TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Friday, December 12, 2014
PINDA ATOA TUZO KWA WAAJIRI WALIOFANYA VIZURI 2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabaka (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji na washiriki wa hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabaka (kulia kwake) wakiwa pamoja na wafanyakazi wa kampini ya simu ya VODACOM ambayo iliiibuka mshindi wa jumla katika hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment