Naibu
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo
(kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC
kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano
huo ambaye ni Mwanasheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Bibi. Ester Riwa.
Mbunge
kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa
kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao
makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.
Mmoja
wa vijana kutoka Uganda Bi. Helena Okiring akichangia wakati wa mkutano
wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea
makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania
Bi.
Stella Massekwe kutoka Uganda akitoa mchango wake kuhusu masuala
mbalimbali yaliyozungumzwa wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC
kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania, Kushoto ni kijana Baraka
Chelego kutoka Tanzania.
Baadhi
ya Vijana kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo ni
Tanzania bara na visiwani, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi wakifuatilia
matukio yaliyokua yanaendelea wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa
EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.
Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo
No comments:
Post a Comment