TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Thursday, December 11, 2014
Huawei yazindua simu mpya aina ya Ascend 6-inch Mate 7 jijini Dar leo.
Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (kushoto) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (katikati) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Masoko wa kampu hiyo, Lydia Wangari.
Meneja Masoko wa Huawei , Lydia Wangari (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu mpya aina ya Huawei 6-inch Ascend Mate 7 jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo na Meneja wa Huawei Tanzania, Peter Zhang.
Meneja Bidhaa wa Kampuni ya Huawei, Joseph Lyimo (katikati) akionyesha jinsi simu ya Ascend Mate 7 inavyofanya kazi wakati wa uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment