DK.SHEIN AFUNGUA KIWANJA CHA ZSSF-UHURU KARIAKOO LEO.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana Msoma Utenzi Amina Mohamed Waziri wakati wa ufunguzi wa
Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja
ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha
kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe
za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia)
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF
Dkt.Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment