MATEMBEZI YA VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza
matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya
Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.(Picha na Haroub
Hussein).
VIJANA
500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya siku tatu
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la
Rahaleo.(Picha na Haroub Hussein).
NAIBU
Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Juma Sadalla( mbele kushoto) akiungana
na Vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi katika matembezi ya siku tatu
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
No comments:
Post a Comment