Jengo la
Ghorofa 8 likiwa linateketea katika ghorofa ya 4,Jengo hilo
linamilikiwa na mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la Haji Kube ,vitu
mbalimbali zikiwemo Frem za Picha ,maua, vimeteketea kwa moto. ambapo
mmiliki wa ofisi hiyo yuko nje kwa safari
Wananchi
wa kiliangalia jenjo la Ghorofa 8 lililokuwa likiteketea kwa Moto
katika ghorofa ya 4 kwenye Barabara ya Agrey maeneo ya Msikiti wa
Kibla ten Dar es Salaa leo.
Hapo
wananchi wakikimbizana baada ya nguzo ya umeme kutowa mlipuko katika
Barabara ya Huru na Kongo Dar es Salaam kama ilivyonaswa na mwandishi
wa Jambo Leo alipokuwa akienda katika Jengo la Ghorofa 8 lililopo jirani
na Msikiti wa Kiblateni .
Hapo wananchi wakikimbizana na kuondowa bidhaa zao baada ya nguzo ya umeme kutoa mlipuko katika Barabara ya Uhuru na Kongo Dar es Salaam kama
ilivyonaswa na Mmiliki wa Blog ya ujijirahaa, alipokuwa pilika zake za kazi
No comments:
Post a Comment