Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji Viongozi wakati alipowasili leo katika uzinduzi wa Barabara
ya Njia nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni katika shamra shamra
za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akikata utepe kufungua Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya
Kati Unguja leo iliyojengwa na Serikali kupitia kitengo cha Idara ya
ujenzi Barabara UUB ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji na (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kama ishara ya kufungua Barabara ya Njia Nne-Umbuji
Wilaya ya Kati Unguja leo iliyojengwa na Serikali Mapinduzi kupitia
kitengo cha Idara ya ujenzi Barabara UUB ikiwa ni katika shamra shamra
za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mkuu
wa Mkoa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakitembea katika Barabara
ya Njia NNe -Umbuji Wilaya ya Kati Unguja mara baada ya kuifungua rasmi
leo ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik
Akili,akitoa ripoti ya kitaalamu leo wakati wa sherehe za Ufunguzi wa
Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa
na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Msoma Risala Farida Rajab akisoma risala hiyo mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika leo kijiji cha Umbuji ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu]
No comments:
Post a Comment