TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Thursday, January 8, 2015
ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KATIKA JIMBO LAKE LA UCHAGUZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea silaha za jadi, upinde, mishale na usinga kutoka kwa Machifu wa kabila la Wakonongo katika mji wa Inyonga wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanawake wa Nsimbo wakati alipowasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhar akiwa katika ziara ya jimbi lake la uchaguzi Januari7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment