Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili katika Uwanja wa
Ndege wa Karume Pemba akiwa kisiwani huko atazindua Soko la Samaki na
mboga mboga ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi wa Chama na Serikali mara alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba akiwa ziara ya kuzindua miradi mbali
mbali ikiwemo Soko la Samaki na mboga mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya
Micheweni Kaskazini Pemba ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed
alipowasili katika Uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga katika
Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Afisa Tawala Wilaya ya Micheweni Pemba Ahmed Khalid
Abdalla pamoja na Viongozi wengine alipofika katika Kijiji cha Tumbe
Wilaya ya Michweni kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji
hicho leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi

akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Dk.Kassim Gharib Juma baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga
wakati alipotembelea sehemu za Soko hilo leo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa kwanza kushoto)
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis na Mkurugenzi Idara ya Uvuvi
Mussa Aboud Jumbe,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiangalia sehemu ya kufanyia minada katika Soko la Samaki na
mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba
leo baada ya kulizindua rasmi ,ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara
ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe alipofika kuangalia jenereta
katika soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya
Michweni Pemba baada ya kuzindua Soko hilo leo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikata utepe kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha
Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo lililojengwa na Serikali kupitia
mkopo Benki ya Dunia ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Baadhi
ya wananchi wa Kijiji cha cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba
wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga leo
uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.] Mkurugenzi
wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe
akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein leo baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga
mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba wakati alipotembelea
sehemu mbali mbali za soko hilo katika shamra shamra za miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment