Mwenyekiti
wa chama cha Wananchi CUF. Prof, Ibrahim Lipumba alipokuwa
akiwashukuru wananchi wa Buguruni Dar es Salaam jana kwa kupiga kura na
kukipa ushindi mkubwa na imani walio ionyesha kwa wagombea wa chama
hicho kuwezesha kunyakuwa mita 5 na Chama cha Mapinduzi CCM kunyakuwa
mta 1, nakuwaomba wananchi wazidi kuwa na imani na cha hicho.
Mjumbe
wa Chama cha Wananchi CUF. na Kiongozi wa Sanaa Mshikamano cha Temeke
Shamte Mpendaraha alipokuwa akisoma risala kabla ya mgeni Rasmi kuongea
Wanachana wa chama cha wananchi CUF pamoja na wanachi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama hicho Prof Ibrahim Lipumba
Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya
wananchi waliojitokeza kumsikiliza alipokuwa akiwashukuru wananchi wa
Buguruni kwa kukiwzesha chama hicho ushindi katika chaguzi za Serekali
za Mita zilizofanyika hivi karibuni nakuzidi kuwaomba wananchi
wajitokeze kujiandikisha katika Daftari la wapigakura.
Wanachama
wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wao
Pro. Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi hao eneo la
Buguruni Shell Dar es salaa jana.
Mwanacha wa Chama hicho cha CUF, akiwa amevalia kofia ya chama hicho.
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza
Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi hao
eneo la Buguruni Shell Dar es salaa jana
Wanachama wakicheza ngoma baada ya kwisha kwa Mkutano
Baadhi
ya Wenyeviti wa Chama cha Wananchi CUF ,walio fanikiwa kuchaguliwa
katika chaguzi za Serelali za Mita kupitia chama hicho .
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkubwa wakimsikiliza
Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi hao
eneo la Buguruni Shell Dar es salaa jana
( Watoto
CUF), ni watoto 200 wanao lelewa na Chama cha Wananchi cuf kwa
kufundishwa maadili ua Uongozi na Miiko ya Uongozi na mambo ya Rushwa,
ambao wanaoandaliwa hapo baadaye wawe Viongozi bora watakao kitumikia
chama hicho na wazazi wanaombwa kupeleka watoto wakapate maadili.
Prof. akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa Chama hicho Buguruni Shell jijini Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment