Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,
akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha
na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini
nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na OMR Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi
nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo mchana. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, (wa kwanza kutoka kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa
Bunge la Jamhuri, Anne Makindajaji Mkuu, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed
Chande Othuman, Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.
Asha-Rose Migiro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche,
aliyeteuliwa, wakiwa katia ukumbi wakisubiri zoezi hilo la kuapishwa.
Picha na OMR Picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wa ngazi za juu Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wakuu wa Ulinzi na usalama. Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wanafamilia wa Bw. George. Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wenzake. Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi Tume ya Sheria.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliyekuwa akisubiri kuapishwa, George
Mcheche, akizungumza jambo na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama,
wakati wa hafl hiyo. Baadhi ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment