Khadija Kopa akijipinda kimadaha wakati akifanya ‘mavituz’ stejini.
Kundi la Ogopa Kopa kazini.
Mtoto wa Khadija Kopa aitwae Mohammed Kopa akikamua huku nyuma yake akisapotiwa na wenzake.
Mkali wa miondoko ya Kigodoro, Msaga Sumu, akivamia jukwaa na kuwainua mashabiki waliokaa vitini.
Mashabiki wakijimwaya na burudani ya Kigodoro kutoka kwa Msaga Sumu ambaye alikuwa akisapotiwa na Ogopa Kopa.
Msaga Sumu akimpelekesha Khanifa Khalid anayeserebuka kwa staili ya gwaride.
Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa (kulia) na Khanifa Khalid wakikamua.
Aziza Kimodo akikamua.
Shadya Chotara naye akionesha makali yake.
Mashabiki wakifurahia burudani.
WAENDESHA bodaboda na wamiliki
wake walijimwaya na bonge la burudani kutoka kwa Malkia wa Mipasho,
Khadija Kopa na kundi lake la Ogopa Kopa Modern Taarab sambamba na mkali
wa muziki wa Kigodoro, Msaga Sumu, kwenye tamasha lao lililofanyika
Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhiem jijini
Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
(PICHA : RICHARD BUKOS/GPL)
No comments:
Post a Comment