Naibu Waziri wa Miundo mbinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu),akifungua kitambaa kama ishara ya
Ufunguzi wa mtambo wa kubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa
safi na salama huko Uzi Ng’ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akikinga Maji yaliobadilishwa kutoka
kwenye chumvi na kuwa safi na salama baada ya kufungua huko Uzi Ng’ambwa
Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka
51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakinywa maji
yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama baada ya
kufunguliwa huko Uzi Ng’ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akitoa hotuba wakati alipofungua mtambo
wa kubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama Uzi
Ng’ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake nimuakilishi wa Taasisi ya
Mork Water Solution ya Ujarumani Mikalen na kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa
wa Kusini Idriss Muhsin Hijja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment