Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao
Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao kutoka
vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na
University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Temeke, Dar es Salaam, jana kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo
hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala
mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo
Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini
Marekani.
Mtemvu
akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto
wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke
Profesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada
ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya, Sophia Mjema, wa pili
kushoto,
Mkuu huyo wa wilaya akizungumza
Ugeni
huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke jana
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na
Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa
mkurugenzi huyo jana
Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Wanahisa
wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP, wakiulaki ugeni wa
Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP jana
Mtemvu akizungumza na wadau wa PFT
Profesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo wa PFT
Binti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huo
Mtemvu
na ugeni wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Mfuko wa PFT
baada ya mazungumzo ya kubadilishana uzoefu wa anamna ya kuondoa
aumasikini katika jamii
Mkurugenzi
wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, akiwa na baadhi ya wanafunzi kutoka
vyuo vikuu hivyo ya Marekani ambao ni miongozi mwa waliokuwa katika
ugeni huo wa Mtemvu, hapa ilikuwa kwenye ofisi za PFT.
Mbunge wa Temeke, Mtemvu akipata chakula cha mchana na ugeni wake katika jengo la Quality Centre
No comments:
Post a Comment