Meneja
Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (wa pili kushoto) akikabidhi jezi
kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus
Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya
michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa
ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali
inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni
Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi ya chuo hicho (DARUSO),
Stanry Julius, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa tatu
kushoto) na Mratibu wa Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
Naibu
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya
kifurahia jezi baada ya kukabidhiwa na Airtel Tanzania msaada wa vifaa
vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana,
kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali
inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni
Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (kushoto), Meneja Uhusiano
wa Airtel, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) na Mratibu wa Michezo wa
Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
Meneja
Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (wa pili kushoto) akikabidhi
kikombe kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof.
Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya
michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa
ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali
inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni
Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi ya chuo hicho (DARUSO),
Stanry Julius (kushoto), Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa
tatu kushoto) na Mratibu wa Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
Meneja
Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (wa pili kushoto) akimkabidhi
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya,
wakati Airtel msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni
15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano
yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu
Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Michezo wa Serikali ya
Wanafunzi ya chuo hicho (DARUSO), Stanry Julius (kushoto), Meneja
Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa tatu kushoto) na Mratibu wa
Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
No comments:
Post a Comment