TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, December 3, 2014
Matukio ya picha toka Ofisi ya Makamu wa Rais.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa pili kushoto), wakisikiliza kwa makini ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi itakayowasilishwa huko Peru hivi karibuni ,ikitolewa na Uester Kibona ambaye ni mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM CC).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), akipokea ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kutoka kwa Uester Kibona ambaye ni mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM CC).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto) pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka Asasi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM CC).
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment