TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Tuesday, December 2, 2014
DR SHEIN AKUTANA NA MABALOZI MICHEWENI ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa mara alipowasili leo katika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni leo kwa madhumuni ya kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofioka katika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni leo kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akifuatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi baada ya mapokezi alipofika katika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni kwa ajili ya kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM) leo .[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya WanaCCM wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya hiyo leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM) .[Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) Dkt.Mauwa Daftari (kulia) na Khadija Hassan Aboud wakifuatilia kwa Makini taratibu za Mkutano wa na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Wete uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa alipokuwa akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kuzungumza na machache katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani ili nae akmaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kuhutubia Mkutano huo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo .[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Micheweni katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment