Lauryn Mnjeja akiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake
Lauryn akiwa na mama yake mzazi Anna Gibson (kulia) na mama yake mkubwa Glory.
Lauryn
Mnjeja akimlisha keki mdogo wake Nancy Baraka, huku Habiba Mohammed
akishuhuhia wakati wa sherehe ya kumpongeza kwa kupata kipaimara kwenye
kanisa la KKKT, Kivule Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Sherehe
ilifanyika ukumbi wa bwalo B Air Wing Ukonga, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment