TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 3, 2014

Benki ya Afrika (BOA) YAJISOGEZA ZAIDI KWA WATEJA WAKE KWA BASHASHA.

Meneja Biashara wa Benki ya Afrika (BOA), Bw. Solomon Haule (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, kabla ya kuchezesha mchezo wa bahati nasibu kwa wateja wa benki hiyo, Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkuu wa Mawasiliano, Bw. Willington Munyanga na Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha, Bw. Bakari Maggid (kulia).
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (wa tatu kushoto), akikadhi Tuzo maalumu kwa mwakilishi wa Kampuni ya Tanga Fresh, Bw. Douglas Makere, baada ya kumvika Joho la heshima kutambua mchango wa kampuni hiyo, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya kuyapongeza makampuni 100 ya kati, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Ofisa wa Kampuni hiyo, Bw. Protas Kimario.
JACLINE
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (kushoto), akijaribu kumvika Joho la Heshima, Mwakilishi wa Kampuni ya Tanga Fresh, Bw. Douglas Kakere, wakati wa chakula cha usiku kupongeza makampuni 100 ya kati, Dar es Salaam juzi.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiongozwa na Ofisa Uendeshaji Rasirimali watu Bw. Collins Constantine, kuwasha mishumaa kuwakumbuka wafanyakazi wenzao waliopoteza maisha, wakati wa maadhimisho ya Ukimwi, Dar es Salaam juzi.

Ofisa Uendeshaji Rasirimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Collins Constantine (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya gesi kwa Bw.Christopher Mchome, baada ya kushinda bahati nasibu iliyofanywa na kampuni hiyo kwa wafanyakazi waliopima afya zao kwa hiari, wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi, Dar es Salaam juzi.
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (wa tatu kushoto), akikadhi Tuzo maalumu kwa mwakilishi wa Kampuni ya Tanga Fresh, Bw. Douglas Makere, baada ya kumvika Joho la heshima kutambua mchango wa kampuni hiyo, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya kuyapongeza makampuni 100 ya kati, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Ofisa wa Kampuni hiyo, Bw. Protas Kimario.

No comments:

Post a Comment