fastjet kwenye maadimisho ya miaka 70 ya kimataifa ya safari za anga duniani
OFisa
Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, (kulia), akizungumza na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr.Shaaban Mwinjaka katika
maadhimisho ya miaka 70 ya Kimataifa ya safari za Anga Duniani
yaliyoanza jana mpaka Desemba 5 mwaka huu katika Viwanja vya Makao Makuu
ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kushoto ni
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
hiyo Charles Chacha.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr. Shaaban Mwinjaka (wapili kulia),
akizungumza na Ofisa Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro katika
maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa Anga yaliaonza jana ambapo
yatamalizika Desemba 5 mwaka huu katika Makao Makuu ya Mamlaka ya
Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kutosho ni Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo
Charles Chacha. 
No comments:
Post a Comment