Mhariri
Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akiwa na wahitimu wenzake
kulia ni Maura Mwingira na kushoto ni Jane Maswe maara baada ya
kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu na kutunukiwa Shahada
ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince
and Public Administration), katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mhariri
Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotyaakipongezwa na ndugu,
jamaa na marafiki mara baada ya kuhitimu mafunzo yake katika Chuo Kikuu
Hiria cha Tanzania.
Mhariri
Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akihojiwa na Mwandishi wa
habari wa ITV Bi. Ida Mushi mara baaya ya kuhitimu eilimu yake.
……………………………………………………………………………………………….
Mhariri Msanifu wa Gazeti la
Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika
Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration),
baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha Rose Migiro, ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria.
Katika mahafali hayo, mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Wengine ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Profesa Samuel Wangwe.
ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu. Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani. Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha Rose Migiro, ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria. Katika mahafali hayo, mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Wengine ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Profesa Samuel Wangwe.

No comments:
Post a Comment