Mbunge wa jimbo la Mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa Mbunge
wa jimbo la Mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili
na utalii Mahmoud Mgimwa akiwa na mkuu wa wilaya wa mufindi.
Mbunge wa jimbo la Mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa akiwa amevalia
Na fredy mgunda Iringa.
Vijiji 31 vilivyopo mufundi
kaskazini mkoani Iringa vinatarajia kupokea umeme na tayari baadhi ya
vijiji vipo katika hatua ya mwisho ya kufunga vikombe kwaajili ya kuanza
kuvuta nyaya.
Akizungumza na mwandishi wetu
katibu wa mbunge wa jimbo la mufindi kaskazini ambae pia ni naibu waziri
wa maliasili na utalii Babtist Mdende amesema kuwa, vijiji
vinavyotarajia kupata umeme safari hii ni vile vijiji vilivyopo tarafa
ya sadani,ifwagi na kibengu.
“vijiji hivyo ni mapogoro,
igomaa,kibada,ndolezi na vengine kama ugesa,vikula,ilasa na kipanga
ambavyo upimaji bado unaendelea kwaajili ya kusimika nguzo,
“kunabaadhi ya vijiji vipo
katika hatua ya awali ya kusimamisha nguzo ikiwepo kijiji cha Isalavanu
ambacho mradi wake wa umeme unashughulikiwa na TANESCO wilaya ya
mufindi”, alisema Mdende.
Aidha Mdende ameeleza kuwa kwa
wale watakao ingazwa kwa mara ya kwanza yaani watu wa kwanza wakati wa
kuzindua mladi wa umeme wataingiziwa kwa gharama ya shilingi elfu 30
No comments:
Post a Comment