DK SHEIN WILAYA YA MKOANI LEO
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame Haji akimakaribisha Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa Mkutano wa Mabalozi na
Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika
ukumbi wa Fidel Castro chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment