TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Friday, December 5, 2014
BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI AKUTANA NA DK SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes alipofika Kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes alipofika Kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment