Katibu
Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu
na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini
kwake Dar es salaam jana juu ya hali ya usafiri kipindi cha siku kuu za
Krismas na mwaka mpya ambapo ametahadharishja abiria kuto kukubali
kutozwa nauri za juu na pindi ikitokea hivyo Sumatra ipewe taarifa
haraka. Soma taarifa kamili hapa chini. Source Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment