Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya kikazi ya
kisiwa cha Pemba akihimiza na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi
ya CCM ya mwaka 2010 ikiwa ni pamoja na kuhimiza uhai wa chama hicho
kisiwani humo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
pamoja na viongozi wengine wakishiriki ujenzi wa tuta la kuzuia maji
chumvi katika bonde la Mpunga la Koowe Wingwi Micheweni mkoa wa
Kaskazini Pemba , kulia ni Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Ndugu Omar
Khamis Othman.
TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, January 28, 2015
ABDULRAHMAN KINANA: WAFUASI WA CHAMA CHA CUF WAKO KIFUNGONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment