Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa
Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari
28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni
Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum
Taj.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua
rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini
Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma
Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard
Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa
Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na balozi wa New Zealand nchimni
Uraransa baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini
Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand ndiyo
iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja
na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuweka saini kitabu cha wageni baada
ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa
yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi
wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia
Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo
lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijichanganya na wageni waalikwa ambao ni
mabalozi wa nchi mba,limbali za Afrika pamoja na wana Jumuiya ya
Watanzania baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania
nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.
Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New Zealand
ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi
pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi
na maafisa wa ubalozi. PICHA NA IKULU.
na maafisa wa ubalozi. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment