Dr. Shein azindua sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa CCM
Baadhi
ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha
sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na
Viongozi mbali mbali wa CCM wakiwa katika uzinduzi wa Sherehe za
maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCm katika uwanja wa Gombani Wilaya
ya Chake chake Pemba,wakiwepo Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar
Kinana na Nainu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai(wa tatu
kulia)Picha na Ikulu.]
Vijana
wa Chipukizi wa CCM Kisiwani Pemba wakiimba Wimbo Maalum wa kuzaliwa
CCM wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 38 katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba kuzindua sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM,[Picha na Ikulu,]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana na Nainu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Bakari Mshindo (wa tatu kushoto) Spika wa
Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Mke wa Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (kushoto) wakipiga makofi
ulipopigwa wimbo wa Chama kumpokea Dk.Shein alipofika kuzindua Sherehe
za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCM katika uwanja wa Gombani
Wilaya ya Chake chake Pemba,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya WanaCCM wa Mikoa miwili ya Kisiwa ca Pemba wakiwa katika
Uzinduzi wa Mkutano Maalum wa Sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya
kuzaliwa CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Picha
ya Muasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM na Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere ikinyanyuliwa juu wakati Wimbo maalum ukiimbwa na Vijana wa
Chipukizi walioshiriki halaiki katika uzinduzi wa maadhimisho ya Sherehe
za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akisema machache na
kumkaribisha katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana ili
awaslimie wananchi wa Mikoa ya Pemba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar walipokuwa wakiwasalimia WanaCCM wa Mikoa miwili ya Pemba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu
Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana baada ya kumalizika kwa Mkutano
wa maadhimisho ya sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM uliofanyika katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini
Pemba,[Picha na Ikulu.]
Katibu Mkuu CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho.
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akizungumza na Daniel
Chongolo Mkuu wa mawasiliano CCM kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa
uzinduzi
No comments:
Post a Comment