Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan
Mshinda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam juzi, kwenye semina ya siku mbili iliyohusu matumizi ya Sayansi na
Teknolojia katika kuinua uchumi kupitia viwanda na uhifadhi wa mazingira
na Sekta ya Umma kuimarisha ubunifu kwenye Sayansi hai.
Mkurugenzi wa Sera na Utafiti Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), akichangia mada katika semina hiyo iliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Dk.Hassan Mshinda.
Profesa Tiisekwa Bendantungula kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), akichangia mada.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Banana Envestment ya Arusha, Adolf Olomi, akizungumza na
waandishi wa habari. Kampuni hiyo imefanikiwa kutumia maji taka
yanayotoka katika kiwanda hicho na kuyatumia kwa matumizi mengine
kupitia utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo
Semina ikiendelea.
…………………………………………………………………………..
Dotto Mwaibale
…………………………………………………………………………..
Dotto Mwaibale
UKUAJI wa Sekta ya Sayansi na
Teknolojia umekuwa na mafanikio makubwa pamoja na msaada katika
kuharakisha na kuboresha na urahisishaji wa kuleta maendeleo ya taifa
kwa ujumla.
Hayo yal
No comments:
Post a Comment