TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, January 26, 2015
RAIS DR. SHEIN AWASILI PEMBA TAYARI KWA UZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 38 ya CCM utakaofanyika leo kwenye uwanja wa Gombani mijni Chakechake Pemba ambapo Rais Dr. Shein atakuwa mgeni rasmi, Sherehe za Kilele cha miaka 38 ya CCM kitaifa zinatarajiwa kufanyika Songea mkoani Ruvuma Februari 1 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana
wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana
na Mohamed Abood
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Moh
amed Aboud Mohamed.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akivishwa shada la maua na vijana wa chipukizi kushoto ni Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM na
Mohamed Abood
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Moh
amed Aboud Mohamed.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akiongozana na viongozi mbalimbali kwenda kusalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Pemba.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi uwanjani hapo kutoka kushoto ni Masauni Yusuf Masauni Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni na Balozi Ali Karume.
Awali Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM naye aliwasili uwanjani hapo na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai anayeshuka kwenye ndege ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM
akiangalia vikundi vya ngoma vilivyofika kweny ma;pokezi.
Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM
akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Pemba wakati alipowasili kisiwani humo leo.
Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM
akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Pemba wakati alipowasili kisiwani humo leo.
Jengo la uwanja wa ndege wa Pemba .
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment