Mtwara yapiga hatua upatikanaji wa maji safi na salama
Mkuu
wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo
ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua
miradi ya maji.(Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO)
Mwenyekiti
wa kijiji cha Kibaoni kinachohudumiwa na Mradi wa Maji wa Nanyamba,
Issa Bakari akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya
Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.
Mwenyekiti
wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi
akipanda ngazi za tanki la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba.
Mwenyekiti
wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi
akivuka kidaraja kuelekea kukagua tanki lingine la maji la mradi wa Maji
wa Nanyamba.
Afisa Mtendaji wa Mamlaka ya Mji wa Nanyamba, akitoa ufafanuzi kuhusu kisima cha mradi wa Maji wa Nanyamba.
Mwenyekiti
wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi
akimpongeza mwenyekiti wa Kamati ya Maji ya Mradi wa Maji wa Matogoro
Mzee Mwanya Natanga Bwanaheri.
No comments:
Post a Comment