Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa Kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant na kutoa msaada katika hospital ya Ligula
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba
ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham
Gwao walipotembelea Hospitalini hapo leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba
ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham
Gwao walipotembelea Hospitalini hapo leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama
cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba
Nkinga akitembeea katika eneo la mradi wa nyumba za wafanyakazi wa Mradi
wa kuchakata Gesi Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant wakati
wa ziara ya Maafisa Mawasiliano Serikalini leo Mkoani Mtwara. Kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAEEZO Bibi. Zamaradi Kawawa na
Mkuu wa Kitengo Serikalini wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra
Masoud(katikati).
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba
Nkinga(katikati) akitembelea katika katika eneo la Mradi wa kuchakata
Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant wakati wa ziara ya Maafisa Mawasilano Serikalini katika eneo a mradi huo leo Mkoani Mtwara
No comments:
Post a Comment