TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, January 26, 2015

Wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa kutekeleza wajibu wao kwa kujitolea zaidi.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) mara baada ya kuzindua Balaza la 13 la Michezo mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.Waliokaa kutoka kushoto ni Katibu wa Baraza la Michezo Zanzibar, Naibu Kaibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel, Mwenyekiti wa BMT Bw. Dioniz Malinzi na mjumbe wa BMT Mhe. Zainab Vulu (MB).
Picha zote na Frank Shija, WHVUM.
unnamed2Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa Operesheni wa NSSF Crescentius Magori ,wajumbe wengine ni Alex Mgongolwa, Jennifer Mmasi Shang’a, Mhe. Zainabu Vulu (MB), Mohamed Bawaziri na Mwl. Zaynab Mbiro.
unnamed3Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Dioniz Malinzi akitoa neno lashukrani mara baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Baraza la 13 la Michezo leo jinini Dar es Salam. Pembeni ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo.
unnamed4Baadhi ya wajumbe wa Barala la Michezo la Taifa (BMT) wakifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri wakati wa hafla ya uzinduzi wa baraza hilo leo(jana) jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Zacharia Hanspope, Crescentius Magori ambaye, Adam Mayingu ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Mohamed Bawaziri na Mwl. Zaynab Mbiro
unnamed5Baadhi ya wajumbe wa Barala la Michezo la Taifa (BMT) wakifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri wakati wa hafla ya uzinduzi wa baraza hilo leo(jana) jijini Dar es Salaam Kutoka kulia ni Mhe. Zainabu Matitu Vulu(MB), Jamal Rwambow (SACP msataafu) na Mwl. Zaynab Mbiro.
unnamed6Baadhi ya wajumbe wa Barala la Michezo la Taifa (BMT) wakifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri wakati wa hafla ya uzinduzi wa baraza hilojijini Dar es SalaamKutoka kulia ni Mhe. Zainabu Matitu Vulu(MB), Jamal Rwambow (SACP msataafu) na Mwl. Zaynab Mbiro.

No comments:

Post a Comment