Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati) akiwa na maofisa wa benki hiyo. Maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Baadhi ya wadau wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Maofisa wa Benki ya CRDB. Wageni waalikwa pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB. Maofisi wa Benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Picha ya pamoja. Maofisa wa benki ya CRDB.
BENKI
ya CRDB imezindua kampeni maalum ya utumiaji wa huduma zake kupitia
simu za mkononi ‘SimBanking’ kupitia kwa mawakala wa ‘FahariHuduma’.
Akizungumza
jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni hiyo ijulikanayo kama
‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
hiyo, Dk. Charles Kimei alisema lengo la kuanzisha kampeni hiyo ni
kuwakumbusha wateja wake na watanzania wote kwa ujumla umuhimu wa
kutumia njia hizo mbadala ili kupata huduma kwa urahisi na uharaka.
Alisema
kampeni hiyo inatarajiwa kutoa magari kumi na mbili ambapo kila mwezi
mshindi mmoja atazawadiwa gari hilo, pamoja na zawadi ya gari la wateja
watakaotumia huduma hizo pia wataweza kujishindia zawadi nyingine
mbalimbali zikiwemo solar power, tables na simu za kisasa za mkononi.
“Tunataka
kuwavutia wateja wetu kuziamini na kuzitumia zaidi huduma hizi kwani ni
sawa kabisa na kupata huduma kupitia matawi yetu,”.
Akielezea
namna ya kushiriki na jinsi mshindi atakavyopatikana, Dk. Kimei
alisema kuwa shindano hilo ni la wateja wote wa CRDB watumiao huduma
hizo na mshindi atakuwa ni yule mwenye miamala mingi zaidi kwa mwezi
husika.
“Mshindi
ni yule atakayekuwa amefanya miamala mingi zaidi kwa kutumia SimBanking
au FahariHuduma katika mwezi husika, iwe ni kutumia fedha kwenda kwenye
akaunti nyingine, au kwenda kwenye mitandao ya simu au kulipia Ankara,”
alisema.
Kwa
upande wake ,Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi CRDB, Martin Mmari alisema
ubunifu ndio njia pekee itakayotatua changamoto, ni muda muafaka kwa
Watanzania kuchangamkia fursa hiyo na kujishindia zawadi.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya
CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kuzungumza katika hafla
ya uzinduzi wa kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma za benki hiyo kupitia
simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa mawakala wa ‘FahariHuduma’,
ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na SimBanking shinda Passo’ uliofanyika jijini Dar
es Salaam
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati) akiwa na maofisa wa benki hiyo. Maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Baadhi ya wadau wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Maofisa wa Benki ya CRDB. Wageni waalikwa pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB. Maofisi wa Benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo. Picha ya pamoja. Maofisa wa benki ya CRDB.
Ofisa
Uhusiano wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (kushoto) akibadilishana
mawazo na Mkurugenzi wa Tawi la CRDB, Kijitonyama, Lucas Busigazi
(katikati) kuhusu huduma za benki ya CRDB (kulia) Kulia ni Meneja wa
Tawi la Msasani, Saida Francis.
Wanamuziki wa Yamoto Band wakitumbuiza.
Dk. Charles Kimei akisalimiana na wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin
Mmari (kushoto) akiwa na baadhi ya wakurugenzi wa benki hiyo wakitoka katika
Mobile Bank mara baada ya kuzindua kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma za
benki hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa mawakala wa
‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na SimBanking shinda Passo’
uliofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo mtumaji wa miamala mingi katika
benki hiyo atapata zawadi ya gari aina ya Passo. Kulia ni mjumbe wa
bodi, Celina Mkoni.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia) akiwa na Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Godwin
Semunyu wakiwa katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari, akikata utepe
wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma za benki
hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa mawakala wa
‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na simBanking shinda Passo’
uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, ambapo mtumaji wa miamala mingi
katika benki hiyo atapata zawadi ya gari aina ya Passo. Kulia ni mjumbe
wa bodi, Celina Mkoni.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin
Mmari, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya utumiaji wa
huduma za benki hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa
mawakala wa ‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na simBanking shinda
Passo’ uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, ambapo mtumaji wa miamala mingi katika
benki hiyo atapata zawadi ya gari aina ya Passo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei na wa tatu kushoto ni mjumbe wa
bodi, Celina Mkoni.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari, akikata utepe
wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma za benki
hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa mawakala wa
‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na simBanking shinda Passo’
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin
Mmari, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya utumiaji wa
huduma za benki hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa
mawakala wa ‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na simBanking shinda
Passo’
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari, akijaribu gari
aina ya Passo baada ya kuzindua kampeni maalumu ya utumiaji wa huduma za
benki hiyo kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’, kupitia kwa mawakala
wa ‘FahariHuduma’, ijulikanayo kama ‘Tuma pesa na simBanking shinda
Passo.
No comments:
Post a Comment