Picha ya
pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na
Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory
Teu (wa nne kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa
,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma
(wa tatu kushoto) na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ya wabunge.
Kaimu
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa
ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma (wa pili kulia) akiwa katika
kikao hicho na kamati hiyo baada ya kutembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa
,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na kwenda Hospitali ya
Taifa Muhimbili (MNH) kwa majumuisho.
Kaimu
Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu
(katika) akifafanua jambo wakati wa kamati yiho ilipotembelea Taasisi
ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na
kwenda kutembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kufanya
majumuisho katika Hospitali hiyo ( kushoto) ni Waziri wa Afya Seif
Rashid
Mbunge wa
Viti Maalum Rukwa Abia Nyabakari (kushoto) akisalimiana na Waziri wa
Afya Seif Rashid, baada ya kutembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa
,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) , katikati anaye
shuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dk, Othman Kiloloma
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya
Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na
kutembelea Vyumba vya Wagogonjwa Mahututi (ICU) katika Taasisi hiyo.
Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na
kutembelea Vyumba vya Wagogonjwa Mahututi (ICU) katika Taasisi hiyo.
Kamati ya
Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya Tiba ya
Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na kutembelea
Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dk, Othman Kiloloma (kulia) akionyesha
mashine zilizo mbovu kwa Kamati ya Kudumu ya ya Bunge ,Huduma za Jamii.
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya
Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na
kutembelea Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na
kutembelea Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Mkurugenzi
wa Blog ya UJIJIRAHAA Khamis Mussa (kulia) katika Picha ya pamoja na
baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii
(kushoto) ni Dk. Hamisi Shaban (kushoto).
Kaimu
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa
ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma (katikati), akimuonyesha Waziri
wa Afya Seif Rashid, picha ya X-ray ya mgonjwa aliyekuwa akifanyiwa
Upasuaji wa mguu wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii
ilipotembelea Taasisi hiyo
No comments:
Post a Comment